Wednesday, June 16, 2010

mkokoteni nao !!
Dereva wa mkokoteni huu kapaki kwenye kona ya mtaa wa jamhuri na inayoenda bilicanas na kwenda kunywa chai. hiyo foleni iliyozuka kutokana na uzembe huu wa hali ya juu anajua Mungu. Kwa hiyo adha ya foleni jijini Dar inasababishwa na mengi tu (picha na Michuzi)

No comments: