Mwisho leo.

Hali ilivyo vituoni..!

Bi Kizee mwenye umri wa miaka 94 akiwa kabambwa na kago la bangi lenye uzito wa kilo zaidi ya 10 akiwa kajifunga mwilini huko Nogales, Arizona, Marekani. Hii inadhihirisha kwamba sio tu kazi ya kubaini wanaosafirisha madawa ya kulevya si ndogo bali pia wanaofanya kazi hiyo si lazima wawe vijana
Mwenyekiti wa kamati ya Redds Miss Kinondoni Bw. Boy George wa pili kutoka kulia akiongea mbele ya waandishi wa habari leo kwenye mgahawa wa Hadees wakati alipotangaza zawadi kwa washindi watakaopatikana katika shindano hilo linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Wasanii maarufu wa muziki nchini Tanzania Joseph Mbilinyi aka Sugu lias Mr II, Fred Malick aka Mkoloni na Gerald Mwanjoka aka G. Solo wamejiunga rasmi na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kukabidhiwa kadi zao za uanachama. Tukio hilo limechukua nafasi katika Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA, zilizopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
LEO NI MIAKA 3 KAMILI TOKEA MH. AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIA (PICHANI) ATUTOKE. KIFO CHAKE, KILICHOTOKEA GHAFLA, KILITIKISA NCHI NZIMA NA WATANZANIA WOTE KWA JUMLA YAO WALIBAKI MIDOMO WAZI KWA KUONDOKEWA NA MBUNGE HUYU KIJANA ALIYEJIPATIA UMAARUFU KWA MENGI, KUBWA LIKIWA MSIMAMO WAKE WA KUPAMBANA NA JANGA LA MADAWA YA KULEVYA. NA LEO, IKIWA NI SIKU YA KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA, GLOBU HII INAJIUNGA NA WANAHARAKATI KAMA AMINA CHIFUPA KUADHIMISHA SIKU HII HUKU TUKIMKUMBUKA MWAHARAKATI HUYU. Seatbelt broken? I
can fix that!
New TV too big for the old
cabinet? I can fix that!
No bottle opener? I can fix
that!
Room too dark using compact
fluorescents? I can fix that!
Electrical problem? I
can fix that!
Bookshelf cracking under the weight?
I can fix that!
Car imported from the wrong country?
Electric stove broken & can't heat coffee? I fixed that.
Desk overloaded? I can fix
that!
Car can't be ordered with the "Woody"
option? I can fix that!
Cables falling behind the desk?
I can fix that!