nyota mbili na mwezi anga ya dar usiku huu
                                     
 Mheshimiwa Kadidi, Kwa heshima na taadhima pokea picha hizi za Mwezi na Nyota Mbili zikiwa sambamba leo 
Siku ya 1st December 2008. 
Picha zimepigwa maeneo ya Gerezani,Kidongo Chekundu, Dar. Hapana shaka wadau wanazuoni watatutafsiria maana ya tukio hili adimu.
Zimepigwa saa 8.35 pm na
Zimepigwa saa 8.35 pm na
Mdau MohammedulBaqir N Kalimi
Dar es Salaam, 
Tanzania.
No comments:
Post a Comment