Inawezekana !!!!!

Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!

Wednesday, June 9, 2010

Taifa Stars Enzi Hizo.


Rais Nimery wa Sudan akikagua Taifa Stars walipocheza na na Sudan Uwanja wa Taifa jijini Dar. Mwalimu Nyerere ambaye aliongozana na Rais huyu toka siku hiyo hakukanyaga tena uwanjani kuwaona Taifa Stars. Haikumuingia akilini kwa nini timu ya Taifa ikose Jezi siku kama hii. (Michuziblog)
Safari at Wednesday, June 09, 2010
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.