Inawezekana !!!!!

Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!

Saturday, December 19, 2009

KICHEKESHO CHA LEO
Baba alikuwa na tabia nzuri ya kukagua daftari za mwanae za shule,akawa ana mgombeza kuwa anashindwa darasani.Siku moja baba akaamua kumpa mtihani nyumbani,majibizano yalikuwa kama ifuatavyo:-
BABA-ukiwa na glasi sita moja ikavunjika utabakiwa na ngapi? MTOTO-utabakiwa na aibu na vipande vya chupa utavificha uvunguni mwa kitanda
[ Tuma Kichekesho Chako kwa mail ya blog hii. ]
Safari at Saturday, December 19, 2009
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.