Wednesday, September 23, 2009

ati wanajamvini ni kweli

Ati wanajamvini ni kweli mahusiano/mapenzi ya ugeli friend na uboi friend ni matamu kuliko yale halali yaliohalalishwa na jalali ?

1 comment:

  1. Ni kweli Kaka. Si hakuna majukumu zaidi ya "kudanganyana"
    Majukumu ndio nguzo ya talaka (kwa wasiyoyamudu)

    ReplyDelete