Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Sunday, August 30, 2009
mdau kiluke angára katika karate japan
Mdau Kiluke akiwa kwenye mashindanoya kimataifa ya karate.
yaliyofanyika Hachioji Tokyo ambapo alishinda kwa pointi nyingi
Mdau Kiluke akiwa na washindi wenzie
Mdau Kiluke akipokea nondozzz ya ushindi wake. Wabongo tumo nasi...
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment