Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Tuesday, March 17, 2009
URODA
Yaani hii picha imenikumbusha miaka ya 1980 ziliingia baiskeli za Phoenix karibu kila nyumba katika neighbourhood ilinunua moja sasa kupakizana ulikuwa mtindo huu!!! Karibu kila mtoto wa enzi hizo alipata kovu la baiskeli!
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment