Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Tuesday, October 14, 2008
MWIMBAJI BORA WA AFRIKA MASHARIKI AMBAYE WIMBO WAKE WA ZIRO UMESHINDA TUZO ZA VID EO BORA YA CHANEL O
Mwimbaji Witness Mwaijaga ambaye amefanikiwa na kushinda katika Tuzo za muziki za CHANEL O, zilizofanyika nchini Afrika Kusini nakuwa manamuziki bora wa Afrika mashariki hongera dada!!!
Mwimbaji Fid Q aliyeshirikishwa kwenye wimbo huo
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment