Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Friday, October 24, 2008
AKU, NDEMA, USINICHEKESHE MIE
Raia huyu mwenye asili ya kichina alinaswa na kamera yetu nje ya Soko Kuu la Kariakoo Jijini Dar es Salaam leo mchana akinunua kipande cha muhogo huku akimtania mwanadada anayeuza, sijuwi ndio keshakolea kwa sista wetu!
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment