Nyie Taifa Stars Msifungwe
Kipuuzi- Bendera

Bendera aliwataka wachezaji hao kutambua mchezo huo ni muhimu na wanatakiwa washinde pamoja na kuwa nafasi ya kufuzu kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika na zile za Kombe la Dunia nchini Angola na Afrika Kusini haipo.Aidha aliwataka wachezaji hao kutofungwa mabao ya kipuuzi na badala yake waweke umakini na mkazo katika mchezo.
Alisema,kilichobaki kwa wachezaji hao ni kulinda na kujenga heshima ya nchi na kujiweka nafasi nzuri katika viwango vya soka duniani.Habri hiii na Betram Lengama/TSN
No comments:
Post a Comment