Wednesday, September 10, 2008

Huu ni Msafara Wa
Walimu...
Msafara wa walimu wilaya ya Iringa ukienda kusimamia mitihani ya darasa la saba
katika vituo vya vijijini Leo sasa kikubwa cha kujiuliza je hao wanafunzi waliyotarajiwa kufanya mtihani huo walifika shule/vyumba vya mitihani kwa wakati?maana shida ya usafiri kwa wanafunzi si Dar pekee ni nchi nzima.

No comments:

Post a Comment