Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Wednesday, August 27, 2008
Mdau na Will Smith..
Mdau Gideon Kombe wa Hotel Kempinski jijini Dar es Salaam katutumia picha hii mwanana akiwa na mwigizaji mchekeshaji na mwanamuziki Will Smith wa Marekani alipopiga kambi hotelini hapo.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment