Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Thursday, July 24, 2008
mh. spika na waheshimiwa
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mh. Samwel Sitta (shoto) akizungumza na Mbunge wa Rombo, Mh. Basil Mramba (kulia) na Mbunge wa Bukoba Vjijini, Mh. Nazir Karamagi, nje ya ukumbi wa Bunge mjini dodoma ambako kikao cha bunge kinaendelea
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment