Wednesday, June 25, 2008

MTANZANIA ANAe KIMBIZA ASIA

BEN RICHARD RUTA. ARTISTICAL NAME NI SWEAT DAWG AKA MVUJA JASSO


Vijana wanaounda group la cc upper kama sikosei huko asia. Big up wazee.

8 comments:

  1. hao jamaa ni soo nikiongea kama mdau wa uk...nilikuwa india newdelhi nikaona show zao balaa
    big up

    ReplyDelete
  2. safi bab,BEN nakukubali sana mamen
    kimbiza anga hizo zako sio wadandiaje
    juhudi kaka

    ReplyDelete
  3. i love you ben
    i love your shows

    ReplyDelete
  4. huyo jamaa mi nampata sana tupo nae huku india ni noma kwenye mambo ya art kwakweli anakimbiza.

    ReplyDelete
  5. hahaa Akuna kitu mc wakweli halazimishi humaarufu.Acha kupiga mayowe wacha watu wajione wenyewe.

    ReplyDelete
  6. Mtahishia kujigamba for nuthing!!
    mbona sisi wa Asia hatuwajuhi.Au mpo kijiji gani.
    Msilazimishe fani.

    ReplyDelete
  7. Mnajipigia wenyewe ma comment kweli mafala.njooeni uku pune muwaone wasanii wa kweli.Siyo wa kusua sua

    ReplyDelete
  8. mwishowake mtajiweka theutamu sasa.kwa kutafuta humaarufu.

    ReplyDelete