Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Tuesday, May 6, 2008
JK ndani ya vazi la wataturu
Rais Jakaya Kikwete akiwa amevishwa vazi la jadi ya jamii ya Wataturu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Itigi siku chache zilizo pita,Rais jakaya Kikwete alikuwa kwenye ziara ya siku tano ya mkoa wa singida.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment