Saturday, November 20, 2010

ajali mbaya shinyanga
ajali hii imetokea usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Maganzo,Mkoani Shinyanga mara baada ya gari lililokuwa mbele kusimama ghafla na kusababisha gari la nyuma kuigonga gari iliyokuwa mbele kutokana na kupangwa kwa mawe barabarani na watu wasiojulikana na mpaka kupelekea gari zote kupinduka.hakuna alipoteza maisha katika ajali.
baadhi ya watu waliokuwa wakipita maeneo hayo wakiziangalia gari hizo zikiwa zimepinduka.

No comments: