Monday, October 6, 2008

Athumani Hamisi Afanyiwa
Upasuaji...

Athumani Hamisi, Mhariri wa Picha wa magazeti ya habariLeo na Habarileo Jumapili (pichani) ambaye yupo Afrika Kusini kwa matibabu baada ya kupata ajali mwezi uliopita maeneo ya Kibiti akiwa njiani Kwenda Kilwa kikazi amefanyiwa operesheni jana.
Taarifa zinasema kwamba operesheni hiyo imefanikiwa. Hata hivyo haikuzungumzwa mipango yake ya tiba.
Hata hivyo inasemekana kwamba madaktari hakuwaridhishwa na jinsi mgonjwa huyo alivyocheleweshwa kufikishwa hospitalini kwa matibabu.

1 comment:

SHAFIE said...

OYA MWANA UNATISHA MTU MZIMA YAANI UKO JUUUUUU!!!